Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Modric: "The doctors were right when they said the recovery would be 4 to 6 weeks. The fact is it has-been five weeks I can not run at all".
 
Luka Modric: "Sometimes, although you don't win trophies, it does not mean you're no good".
 
Kwa mimi sidhani kama tunamhitaji mtu kama pogba kwa sana,pale tunataka kiungo wakuunganisha nyuma kwa beki na mbele...yaan wangeniambia mtu kama vidal hapo sawa...
pande wa ushambuliaji,binafsi namkubali sana morata hata alivyoondoka binafsi sikufurahia..namkubali morata sana kuliko jesse,although I don't know uongozi utatafsirije kumrudisha nyumbani...
 
Tayari tuna mtu anayefanya hivyo, ni Toni Kroos. Besides, Vidal hiyo sio role yake wala hana hizo qualities. Vidal ni box-2-box or all action midfielder. What we need is a ball player/holder/passer who's more attacking, na Pogba is that guy. Ama tunaweza kumpata Verratti, then tukamu-unleash Toni acheze nafasi yake halisi.

Morata harudi Madrid, alishasema hataki.
 
AS | The delay of the press conference has
to do with board members questioning the
move to sack Ancelotti which lasted hours.

Ah wapi, Ancelotti kazimia. Hao board members walim-mind kitambo, FloPe akawa anamtetea.
 
AS | The delay of the press conference has
to do with board members questioning the
move to sack Ancelotti which lasted hours.

Ah wapi, Ancelotti kazimia. Hao board members walim-mind kitambo, FloPe akawa anamtetea.

The Board of Directors wanaleta zengwe sijui itakuwaje.
 
According to Marca, Florentino Perez has told Ancelotti he won't be the coach anymore. Perez will confirm it in less than 30 minutes.
 
The Board of Directors wanaleta zengwe sijui itakuwaje.
Hakuna kitu kama hicho, the tradition must be followed. Hii mambo haijaamuliwa leo kusema ndio walete shida, wao ndio walianza kum-mind kitambo. Ngoja tuone itakuwaje, ila Carlolina ni failure na anatakiwa kusepa.

Wakizingua tu, nahamishia energy yote kwa Laso tutafute La Decima yetu.
 
Mi sielewi mboyoyo ya huyu jamaa kutimuliwa zinatoka wapi, msimu mzima tumecheza upuuzi. Tulichapwa Copa Del Rey, Jamaa akasema ni vyema tumetoka tukomae na Champs League na Liga.

Tukaanza drop points kwenye liga kimandazi, jamaa akasema 'oh bado tunaongoza ligi'.

Cristiano kapigwa kibuti na manzi wake, kaanza kukosa magoli na kununa nuna kipuuzi, Jamaa anakuambia 'i can't ask more from a player who guarantees you 50 goals a season'.

Bale msimu m'zima anacheza ufala kaumia, Isco kaja kapiga m'pira hatari ila jamaa anakuambia 'BBC will always play, long as they are fit'.

Isco wote tunajua uwezo wake, ila Carlolina anampiga benchi na kusema anataka acheze kama Seedorf akiwa Milan, smh.

Huyu mtu havumiliki.
 
You're born a Madridista, you don't choose to become one. That's why there are very few hardcore ones.
 
I'm down with the Supremo 100%. He's still the best President we ever had, only next to Santi Bernabeu.
 

Unajua pale tunahitaji haswa mtu ambaye anakaba haswa...kama alonso kariba ile,huyu kroos angalia anakaba na macho sana,anamfuata adui kama anamsindikiza harusini,bado hajaweza kufanua kaz hiyo kwa uaminifu kabisa...
 
Unajua pale tunahitaji haswa mtu ambaye anakaba haswa...kama alonso kariba ile,huyu kroos angalia anakaba na macho sana,anamfuata adui kama anamsindikiza harusini,bado hajaweza kufanua kaz hiyo kwa uaminifu kabisa...
Kroos unayemzungumzia ni wa mechi vs Juve ambayo hakuwa fit, ila jamaa alikuwa on-point sana for the most part of the season, ukizingatia pia alichezeshwa outta his position. Soka imebadilika siku hizi, unakaba kwa kumiliki m'pira na kutengeneza nafasi + kuzitumia.
 
OFFICIAL : Perez confirms that Carlo Ancelotti is no longer Real Madrid manager.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…