pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Asante Sana Mkuu Salamander nakufata kwa updates
Samahani kidogo, Salamander ni mtu (shabiki) wa real madrid au taasisi, naona umetawala asilimia kubwa!! Lol! Untani tu huu usihofu, nafurahi jinsi unavyotupa updates nami nawafagilia hawa watu kwa kule Spain. Big up!