Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #7,581
Mino anachanganya business na emotions, i knew he would make it hard for us to sign Pogba.
Verratti pia ndio namkubali zaidi.Chaguo la Perez ni Pogba, lakini kwa mtazamo wangu Verratti can fit better in the squad for now. Let's wait & see...
Ni sawa lakini RONALDO alikuwa anafukuzia kuifikia rekodi ya messi ya magoli 50 kwa msimu mmoja na alikuwa amebakiza goli 2 tu na Carlo alikuwa analijua hilo. Nina uhakika kama angembakiza angeweza kabisa kuvunja rekodi hiyo!
Tatizo la Iker kwa sasa ni more psychological, Mourinho ruined him. De Gea atakuja Ofcourse
Iker lost his starting spot after Diego Lopez performed well, Diego was signed after Iker got injured. During and after Iker's injury, Mou stopped communicating with him and started talking bs publicly about him, accusing him of leaking team's infos to the media and other pointless ----.Mourinho did not ruin him, he was out of form, and he failed a competition for the first position as a goal keeper against his fellow keeper!