Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Marca | Schuster had some advice for Rafa Benítez: "When you arrive at Real Madrid or Barcelona you have to be smart and adapt to the club. Luis Enrique arrived with a very clear idea of what he wanted to do and little by little he has adapted those ideas to the team".
It's time to support the new manager whether we like him or not but still we should give him some time guys....
Hahaha, yaani Benitez ndio anafundishwa na Schuster kuhusu Madrid? Smh!
Hahaha that's the only way.Bernd Schurter anataka kuuza sura, si unajua ukitaka watu wasome habari zako kwenye media inabidi uongelee los blancos.
For once in your lives, sherekeeni mafanikio yenu, matatizo yetu tuachieni wenyewe.ha ha ha ha ha utani huo unawakumbushia atletico na walivyotolewaga hapo wakasema wametoka il wajikite kwenye la liga na uefa na Ronado akasema asihojiwe had mwisho wa msimu SASA KILA MTU KALA KONA NA ANCELOT WAMEMTIMUA
For once in your lives, sherekeeni mafanikio yenu, matatizo yetu tuachieni wenyewe.
For once in your lives, sherekeeni mafanikio yenu, matatizo yetu tuachieni wenyewe.