Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Perez atuletee pale Verrati,Reus,Sergio kun....! tuone kama kuna mburukenge atachukua point pale.
We ngoja tu, nili-mind sana Juve kaja Bernabeu kina Pogba wanagonga selfies tu, hata wasiwasi hakuna utafikiri wamekuja kucheza na Sampdoria. Yule Carlo nina ugomvi nae mwingi sana.
I cant wait for the new recruit....
Sasa Rafa kazi yake ya kwanza ni kumtimua Arbeloa, enough we've had of the cone already.
Yeah niliona pia Rmainfo nadhani, akajifue kum-prank Soledad. Arbeloa is gone, Perez is the one calling the shots. Hata Kaka alikuwa na 'undugu' na Carlo na bado aliambiwa pita hivi. Besides, his position is well covered.Hahaha..Arbeloa nimesoma mahali fuani kuwa anajifua..Not forgetting alikuwa na Rafa LFC..! so the guy might be there next season..!
Aondoke zake aisee
We ngoja tu, nili-mind sana Juve kaja Bernabeu kina Pogba wanagonga selfies tu, hata wasiwasi hakuna utafikiri wamekuja kucheza na Sampdoria. Yule Carlo nina ugomvi nae mwingi sana.
Yeah niliona pia Rmainfo nadhani, akajifue kum-prank Soledad. Arbeloa is gone, Perez is the one calling the shots. Hata Kaka alikuwa na 'undugu' na Carlo na bado aliambiwa pita hivi. Besides, his position is well covered.
Sasa Rafa kazi yake ya kwanza ni kumtimua Arbeloa, enough we've had of the cone already.
Hahaha wengi hawampendi kichizi. Ana vichaa wake walimuanzishia compaign kwenye Social Networks awe Captain, ilikuwa fujo.E bana leo nimecheka mpaka basi, wenzie wako holliday yeye katupia video anaonyesha kwamba anajifua, halafu kaweka tittle 'keep working!!!'. Sasa kilichonivunja mbavu hizo comments za watu hapo chini. Yaani jamaa kakosa support ya fans kabisa, kuna dada mmoja kamwambia anafanya mazoezi ya salsa.
Carlo na Rafa namkubali sana Carlo, bora timu mngempa Zidane kwa maoni yangu mimi.
Di Marzio (Reliable Italian Source) :
- Talks between Verratti and Real Madrid officials took place in Italy last night.
- Madrid wants to convince the player before they launch an official bid.
- Benitez wants him to be one of his first signings.
We ngoja tu, nili-mind sana Juve kaja Bernabeu kina Pogba wanagonga selfies tu, hata wasiwasi hakuna utafikiri wamekuja kucheza na Sampdoria. Yule Carlo nina ugomvi nae mwingi sana.