Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

DID YOU KNOW...? Jesé scored the winning goal in Real Madrid's last visit to Mestalla (2-3)

¿SABÍAS QUE...? Jesé marcó el gol de la victoria en la última visita del Real Madrid a Mestalla (2-3)

#VALvsRealMadrid #HalaMadrid

 
AS (04-01-2015)
"Nuno Espirito Santo: "Cristiano is the best player in history""

 
Chanel gani itaonesha hii Game au Online..mtandao upi?
Halla Madridista!!!
 
- Real Madrid will play in black shirts today with white shorts,
- On the other side Valencia will be wearing black shorts and white shirts.
 
Real Madrid will soon renew the contract of Sergio Ramos, making him one of the highest paid defenders on the planet. Both parties are in no hurry as he earns about €6m yearly and his contact expires in 2017. [Via : as]
 
Chanel gani itaonesha hii Game au Online..mtandao upi?
Halla Madridista!!!

Kuanzia januari mosi imewekwa sheria ya kuwabana sana watu wanaoonyesha michezo live online, kwa hiyo chanel nyingi ziko closed lakini kwa sasa unaweza kujaribu kwenye hizi links:

http://realmadridstream.net/

http://www.ronaldo7.net/video/real-madrid-live/real-madrid-live-stream.html

Na StreamKING wataonyesha kipindi cha pili kwenye hii link:

http://www.streamking.org/channel5.html
 
Chanel gani itaonesha hii Game au Online..mtandao upi?
Halla Madridista!!!


Angalia kwenye hiyo chanel ya pili, page ikifunguka shuka chini kidogo hapo wameweka links nyingine nyingi tu.
 
Dakika 14, Christiano Ronaldo anafunga bao la Penalty. Real Madrid inaongo za kwa bao 1.

 
HALF-TIME: Valencia 0 - 1 Real Madrid (Cristiano, 14')

 
Dakika 65, inapigwa kona Valencia wanaweka goli la pili. Valencia 2 Real Madrid 1.
 
Full Time, Real Madrid wamecheza soka la hali ya juu lakini wamepoteza point 3 muhimu sana. Bao ni 2 - 1. Mimi binafsi leo nafikiri lawama zimemwendee Gareth Bale, katunyima ushindi kwa ubinafsi. Lakini ndio soka, tusubiri jumatano katika game ya Copa del Rey na Atletico.
 

Safi sana Valencia.... Saa tano tupunguze point
 
Kwa mtazamo wangu attack line yetu haikuwa makini hata kidogo,kuanzia bale,benzema na hata ronaldo,umakini katika kupiga pasi za mwisho na zile zakushtukiza haukuwepo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…