Akili yangu inanituma kuwa tuzo hii anapewa kipa wa ujeruman na hatapewa ronaldo kwa sababu ile ile ya chuki za blatter+platin wakiwa ndo mataikuni katika tuzo hii...vigezo vyao vinabadilika kulingana na nani anatakiwa sasa apewe...ukiangalia 2010 iniesta alikuwa mtu muhimu sana kuanzia katika club hadi nchi ila alipewa mtu mwingine ambaye alikuwa pia anacheza club moja na iniesta,watoa tuzo hiyo wakatuambia kwa kuwa mmpewa tuzo alifunga magoli mengi...ni kichekesho kilioje,mwaka huo huo cassilas alifungwa magoli manne kama siyo mawili(utanirekebusha kama nimekosea)tu katika mashindano yale ila kipa huyu wa sasa kafungwa magoli mara mbili zaidi..ndio maana nasema vigezo vyao vinategemea nani anatakiwa apewe mwaka huu,ndio maana hatushangai kuona kura zikichakachuliwa