Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #1,821
Nimeangalia clips kadhaa za dogo huyo martin..yah ni mzuri sana,nafikir mapungufu yake ni nguvu,hana nguvu zakutosha..so naamini club itaangalia hilo...
dah..nimesoma hayo maneno ya huyo mchezaji wa cordoba aisee ni kwel kuna gap kubwa sana la kipato katika hivi vilabu...
HALA MADRID....
HakikaDogo atakuwa chini ya Zidane na vile vile atakuwa anafanya mazoezi na kikoso cha kwanza. Pale Real Real Madrid wachezaji wenyewe wanasema wameiga mfano wa Ronaldo jinsi anavyojifua. Akishaanza kula mshahara lazima ajitume tu.
Vipato vya klabu vinategemea wawekezaji, kama timu inaendeshwa na jimbo ni lazima mwendo kusuasua. Si unaona Malaga siku hizi wana hela wananunua na kuuza wachezaji kila msimu, kwasababu waarabu wamewekeza hela pale.
Cordoba's Andone: "I'd like to have a Madrid shirt after Saturday's game. Everyone will want to swap with Cristiano."
"I'd love to be the one who exchanges shirts with Cristiano, but If don't I won't mind. I will swap it with Nacho or Arbeloa"
- Every time a Cordoba player gives away a shirt after a game they have to pay 50 because the club can't afford to keep giving new jerseys.
Vilabu vingine havina pesa
Vilabu vingine vipo tu vinasubiri matajiri wa kiarabu siku hizi ndio wanawekeza.