Namhurumia atakayepita hapa kwa sbb kiama chake ni Wembley.
Kwa mpira upi wa Man u?Namhurumia atakayepita hapa kwa sbb kiama chake ni Wembley.
Kwa mpira upi wa Man u?
Bado wasubiri kichapo kingine washapoteza mueekeoendelea kujifariji....atakayepita ni Barca na kiama itakuwa kwa MAN U....:bange:
vipi juzi nyumbani walikupokeaje baada ya kile kipigo???:second:
Bado wasubiri kichapo kingine washapoteza mueekeo
Hehehe yani hakuna nafuuhe he he he.....hata mi nashanga....naona kashapata :bange:
wakulu apo juu naombeni matokeo, I mean Michelle mpenzi na hommie wa ukweli Kimey
Home boy mpaka sasa bila bila ila barca wanacheza utafikiri wapo ishirini! Casilas ana kazi ya kuokoa michomo ya Mesiwakulu apo juu naombeni matokeo, I mean Michelle mpenzi na hommie wa ukweli Kimey
kinawauma kweli kwamba watakutana na Barca....game wanayocheza Barca leo ni ya uhakika....na with this spirit Man U hawatoki..... Man U you will be :second:
Kama ze Gunnerz juzi wamewapelka vile huu mziki wa Barca hawauwezi hata kidogo!Yuuuu...Mchokozi kweli Michelle!!..wapi Manure fans, mmemsikia huyu ze gunners??
Kaizer mpenzi,kwa leo hakuna aliyepata goli....Barca ina yale mawili tu iliyopata mechi iliyopita....
Home boy mpaka sasa bila bila ila barca wanacheza utafikiri wapo ishirini! Casilas ana kazi ya kuokoa michomo ya Mesi
Yuuuu...Mchokozi kweli Michelle!!..wapi Manure fans, mmemsikia huyu ze gunners??
orait, likiingia goli mnistue baso wacha niulaze kidogo leo nimekwepa kuangalia mpira wa jumiya....LOL...thanks Michelle and Kimey
Belinda, vipi unanticipate final ya Man U na Barca? usijitafutie pressure my dear..
Kama ze Gunnerz juzi wamewapelka vile huu mziki wa Barca hawauwezi hata kidogo!
Messi leo anaweza toka majeruhi.....God Forbid....:bange:
Nilitaka mjitokeze manake namuona Manda anatishia amani alafu ana jificha....karibu sana BJ....tuko pamoja!Enjoy!
habari za asubuhi?