Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Namhurumia atakayepita hapa kwa sbb kiama chake ni Wembley.

endelea kujifariji....atakayepita ni Barca na kiama itakuwa kwa MAN U....:bange:
vipi juzi nyumbani walikupokeaje baada ya kile kipigo???:second:
 
Bado wasubiri kichapo kingine washapoteza mueekeo
 
wakulu apo juu naombeni matokeo, I mean Michelle mpenzi na hommie wa ukweli Kimey
 
kinawauma kweli kwamba watakutana na Barca....game wanayocheza Barca leo ni ya uhakika....na with this spirit Man U hawatoki..... Man U you will be :second:
 
Kaizer mpenzi,kwa leo hakuna aliyepata goli....Barca ina yale mawili tu iliyopata mechi iliyopita....
 
Home boy mpaka sasa bila bila ila barca wanacheza utafikiri wapo ishirini! Casilas ana kazi ya kuokoa michomo ya Mesi
 
Casillas ana kazi ya ziada leo...manake Barca ni kama wanafanya makazi golini kwake.....
 
kinawauma kweli kwamba watakutana na Barca....game wanayocheza Barca leo ni ya uhakika....na with this spirit Man U hawatoki..... Man U you will be :second:

Yuuuu...Mchokozi kweli Michelle!!..wapi Manure fans, mmemsikia huyu ze gunners??
 
Messi leo anaweza toka majeruhi.....God Forbid....:bange:
 
Kaizer mpenzi,kwa leo hakuna aliyepata goli....Barca ina yale mawili tu iliyopata mechi iliyopita....

Home boy mpaka sasa bila bila ila barca wanacheza utafikiri wapo ishirini! Casilas ana kazi ya kuokoa michomo ya Mesi

orait, likiingia goli mnistue baso wacha niulaze kidogo leo nimekwepa kuangalia mpira wa jumiya....LOL...thanks Michelle and Kimey

Belinda, vipi unanticipate final ya Man U na Barca? usijitafutie pressure my dear..
 
Yuuuu...Mchokozi kweli Michelle!!..wapi Manure fans, mmemsikia huyu ze gunners??

Nilitaka mjitokeze manake namuona Manda anatishia amani alafu ana jificha....karibu sana BJ....tuko pamoja!Enjoy!
 
orait, likiingia goli mnistue baso wacha niulaze kidogo leo nimekwepa kuangalia mpira wa jumiya....LOL...thanks Michelle and Kimey

Belinda, vipi unanticipate final ya Man U na Barca? usijitafutie pressure my dear..

Kaizer my hommie Barca si wa kuwaogopa kivile..ingekuwa anakutana na ze gunners, ndio wangetaharuki!!
Manure chama lingine dear..kwanza wewe ni fan wa timu gani England?au Spaniard?

Kama ze Gunnerz juzi wamewapelka vile huu mziki wa Barca hawauwezi hata kidogo!

Hujui kuwa ze gunners walibahatisha? ndiyo mana mpaka leo wanashangilia yani hawaamini🙂

Messi leo anaweza toka majeruhi.....God Forbid....:bange:

Itakuwa vyema akijeruhiwa mana anakata mbuga kweli kweli!...Pls Lord have Mercy Messi ajeruhiwe!!ombi la kispoti tu hili
 
Pedroooooooooooooooooooooooooooooooooooooo:bange:
 
Back
Top Bottom