Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Kisha kuna mechi mbili kali sana kati ya Arsenal na L'pool na Madrid na BARCA, zote zinaanza wakati mmoja 6.00pm EAT. Itakuwa shida sana kutulia kwenye channel moja.
 
Aah! Hizi chanel za Tv za bongo,mbona hazionyeshi mipambano hii?...barcelona watapata ushindi wa 2-0
 
Mnao view LIVE turushieni hata matokeo hapa.
 
Kisha kuna mechi mbili kali sana kati ya Arsenal na L'pool na Madrid na BARCA, zote zinaanza wakati mmoja 6.00pm EAT. Itakuwa shida sana kutulia kwenye channel moja.

Mechi ya Arsenal na LFC iko jumapili.

Mechi ya Barca na Madrid inaanza saa ngapi?
 
Reactions: BAK
Mnao view LIVE turushieni hata matokeo hapa.
Poa, tutajitahidi kwa kadri ya uwezo wetu.

Lineup
Madrid: Iker Casillas Ricardo Carvalho Raúl Albiol Marcelo Sergio Ramos PepeSami Khedira Xabi Alonso Cristiano Ronaldo Karim Benzema

Barcelona: Victor Valdés Gerard Piqué Carles Puyol Adriano Dani Alves Sergio Busquets Andrés Iniesta Xavi David Villa Lionel Messi Pedro

Jamaa wote naona wameenda na strong squads.
 
Mechi ya Arsenal na LFC iko jumapili.

Mechi ya Barca na Madrid inaanza saa ngapi?

Bora umeuliza hili swali Mkuu. Niliangalia ratiba siku za nyuma nikaona iko Jumapili kuanzia 6.00pm EAT sasa hivi naangalia tena naona inaanza 11.00pm EAT leo hii. Kama si kuuliza kwako basi nisingeiona mechi hii. Shukrani
 
Hwa jamaa nadhani walibadirisha kwa sababu ya mechi yao ya jumatano, ebanae hii atmosphere ya Barnabeu si mchezo. Fabio Capello kasepa mechi za England kaenda kuangalia El Clasico.
 
Reactions: BAK
Hizi statistics nyingine za kibwege, Messi na Cristiano Ronaldo hawajawahi kufunga timu yoyote inayofundishwa na Mourinho.

7th minute bado mambo hayajatulia ila duh haya makelele ya uwanjani sijui watu wanasikiaje firimbi ya refa.
Adriano (Barca) anapata kadi ya njano
 
Messi kakosa goli hapa alikuwa anajaribu kumpiga kanzu kipa.
 
Duh! Real inaonesha kuzidiwa sana, hawagusi mpira.
 
Pique anakula kadi ya njano, kamtukana refa sijui. Refa kawanyima Barca penalty dakika ya 27.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…