Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RM washindwe wenyewe refa kawapa maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu.
Indeed, imeboa kiaina but again wana mechi nyingine tatu zinakuja so tusubirie tuone itakuwaje.Hii mechi haikuwa kali kama nilivyoitarajia, labda Jumatano wataonyesha soka la uhakika.
Indeed, imeboa kiaina but again wana mechi nyingine tatu zinakuja so tusubirie tuone itakuwaje.
Tukutane tena jumatano. Jioni njema.
Kwa jinsi ninavyoona RM keshaliachia kombe la la
Liga kwa hiyo leo hata akilose hana cha kupoteza na nionavyo leo Barca atashinda 3-1, CL hapo Morinho ndio target yake atalose mechi ya Camp Nou na kushinda ya home and RM will go to the final to meet Schalke 04 of which Raul will score the winning goal against his old club, na kombe la mfalme of course Barca to win it so in general Barca to win 3 games, two trophies but Madrid to reach the UEFA CL final, MARK MY WORDS...
Haya sasa...tuangalie nani saiz yetu Wembley....
Haya sasa...tuangalie nani saiz yetu Wembley....
WOLVES.....l.o.l
<font face="Book Antiqua"><font size="4">Mshindi wa leo wa mpambano wa leo na May 4th ndiye bingwa wa UEFA, lakini mpira ni dakika 90 hivyo lolote linaweza kutokea na kuwashangaza wapenzi wa soka duniani.</font></font></p>
<p>