Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Huyu Adebayor ndio alikuwa anafanya nini pale?
 
Dakika ya 76
Score Barca 1 - 0 Madrid
Possession ya Barca ni 72% kwa 28% ya Madrid
 
RM washindwe wenyewe refa kawapa maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu.
 
Ronaldo anasawazisha hapa kwa penalty
Barca 1 - 1 Madrid 1
 
Hii mechi haikuwa kali kama nilivyoitarajia, labda Jumatano wataonyesha soka la uhakika.
 
Hii mechi haikuwa kali kama nilivyoitarajia, labda Jumatano wataonyesha soka la uhakika.
Indeed, imeboa kiaina but again wana mechi nyingine tatu zinakuja so tusubirie tuone itakuwaje.
Tukutane tena jumatano. Jioni njema.
 
Indeed, imeboa kiaina but again wana mechi nyingine tatu zinakuja so tusubirie tuone itakuwaje.
Tukutane tena jumatano. Jioni njema.


Na wewe pia Mkuu.
 
guardiola_mourinho_1872514i.jpg
 
Kwa jinsi ninavyoona RM keshaliachia kombe la la
Liga kwa hiyo leo hata akilose hana cha kupoteza na nionavyo leo Barca atashinda 3-1, CL hapo Morinho ndio target yake atalose mechi ya Camp Nou na kushinda ya home and RM will go to the final to meet Schalke 04 of which Raul will score the winning goal against his old club, na kombe la mfalme of course Barca to win it so in general Barca to win 3 games, two trophies but Madrid to reach the UEFA CL final, MARK MY WORDS...


Kamari umeshaliwa mara mbili hapo!
 
nadhani kuna kazi kati ya wawili hawa, jamani tukae mkao wa kula tupate burudani ya kufa mtu.
 
...eeeh? yamekuwa haya tena? aha ha ha! kitim tim leo...Mourinho, Master of Mind Games claims another victim!

"In this room [Real's press room], he is the chief, the f*****g man. In here he is the f*****g man and I can't compete with him.
"If Barcelona want someone who competes with that, then they should look for another manager. But we, as a person and an institution, don't do that."

Guardiola hits out at Mourinho as Clasico tensions build - CNN.com


Jose Interview;

[video]http://multimedia.foxsports.com/m/video/39874908/mourinho-takes-on-guardiola.htm?r_src=ramp[/video]​

Pep Interview;

[video]http://multimedia.foxsports.com/m/video/39877344/guardiola-takes-a-hit-at-mourinho.htm?r_src=ramp[/video]

 
Mbu, mourinho must have gotten under guardiola's skin big time maana duh!! Angeongea hivyo kocha wa timu ya uingereza angefungiwa mpaka siku ya kurudi kristo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Haya sasa...tuangalie nani saiz yetu Wembley....
 
Haya sasa...tuangalie nani saiz yetu Wembley....

Mshindi wa leo wa mpambano wa leo na May 4th ndiye bingwa wa UEFA, lakini mpira ni dakika 90 hivyo lolote linaweza kutokea na kuwashangaza wapenzi wa soka duniani.
 
<font face="Book Antiqua"><font size="4">Mshindi wa leo wa mpambano wa leo na May 4th ndiye bingwa wa UEFA, lakini mpira ni dakika 90 hivyo lolote linaweza kutokea na kuwashangaza wapenzi wa soka duniani.</font></font></p>
<p>

BBK
Najua kwann wasema hvo..anyways, nitakupa complementary tiket ya Wembley May 4 wakay tunmrarua huyu mnyama.
 
Back
Top Bottom