Kwa 98% Man & Barc
tayari wameshaingia fainali.
Mtazamo wngu huo.
Kwa 98% Man & Barc
tayari wameshaingia fainali.
Mtazamo wngu huo.
Ebanae mourinho kauliza swali zuri sana, kwa nini kila timu inayocheza na Barca kwenye 1/4 au 1/2 final lazima mchezaji wake apewe kadi?
amini nawaambieni hakuna kocha kama morinho na hakuna timu wanacheza mpira wa kutafutia red card timu pinzani kama barca. karibu kila big mechi zote barca ambazo anacheza lazima red card itokee afu ndo washinde bila red card barca wanafungwa kama nimfuatiliaji wa mpira lazma umeona kitu hiki..
Ebanae mourinho kauliza swali zuri sana, kwa nini kila timu inayocheza na Barca kwenye 1/4 au 1/2 final lazima mchezaji wake apewe kadi?
Plan ya jana ni kama aliyoitumia kwenye mechi mbili zilizopita... contain them if possible ikiwezekana smash and grab... In fact he was shooting for 0-0 the game tilted Barcelona's way baada ya kadi nyekundu surprise surprise.Mourinho kachemsha jana big time, game plan yake ilikuwa hovyo....Real hawakucheza kwa ajili ya kushinda ila kuweka defence kali ili kutoa sare na hapo ndio ikala kwao!
Van Persie alimfanyia nani foul?Simple, Timu pinzani wanakuwa na frustration kwa sababu muda mrefu wanakuwa hawana mpira hivyo wanakaba kwa nguvu na kufanya foul nyingi hivyo ni rahisi kupata kadi.
Fedheha kitu kibaya ndugu yangu, nilimwona mwanariadha mmoja wa Kenya simkumbuki kwenye tv jina simkumbuki, ilikuwa ni marathon na alikuwa ameongoza kwa muda mrefu sana, bado kama mita 50 yule mwanariadha maarufu wa Ethiopia Haile Gebrselassie akapita kama mshale, Mkenya kuona anapitwa acha amtandike Haile konde la mgongoni, ukijiuliza kilichofanya ampige mwenzake ni nini, ni fedheha tu ya kuzidiwa.
Hivyo hata timu pinzani wanapocheza na barca wakiona wenzao wanapiga complete pasi kama 40 mfululizo kinachofuata ni kujiuliza kwa nini watufedheheshe hivi bwana nikimpata mmoja lazima nimfanyie na mpira una sheria zake na red card ndiyo the highest penalty a referee can give.
Van Persie alimfanyia nani foul?
Kwa uelewa wako wa mpira ile offence ina warrant kadi ya njano au ni verbal warning tu? Wachezaji wangapi uwa wanapiga mpira kwa hasira pamoja na kusikia filimbi? Heck juzi Hernandez kafunga goli pamoja na kuwa alisikia filimbi ata kabla hajatuliza mpira na hakupewa kadi wala verbal warning.Hakuwa na mpira muda mrefu hivyo akawa frustrated alivyoupata sasa alichofanya ni kupiga mpira pamoja na kwamba refa alikuwa ameshapuliza kipenga kuashiria alikuwa offside, sasa refa angefanyaje uamuzi ulikuwa ni wake na alichoamua ni kumpa red card.
Kwa uelewa wako wa mpira ile offence ina warrant kadi ya njano au ni verbal warning tu? Wachezaji wangapi uwa wanapiga mpira kwa hasira pamoja na kusikia filimbi? Heck juzi Hernandez kafunga goli pamoja na kuwa alisikia filimbi ata kabla hajatuliza mpira na hakupewa kadi wala verbal warning.
amini nawaambieni hakuna kocha kama morinho na hakuna timu wanacheza mpira wa kutafutia red card timu pinzani kama barca. karibu kila big mechi zote barca ambazo anacheza lazima red card itokee afu ndo washinde bila red card barca wanafungwa kama nimfuatiliaji wa mpira lazma umeona kitu hiki..
Ukiangalia mechi zote with exception of Barca vs Inter, Barca wanafunga baada ya timu pinzani kupata red card? Angalia dhidi ya Arsenal, Chelsea, Inter jana Madrid...? Sio kila siku mnaisema Man Utd kuwa inabebwa inapokuja kwa Barca mnadai wanajua mpira, Mourinho and co had them where he wanted them kama alivyofanya kwenye Copa Del Rey na kwenye El Clasico two weekends ago.