Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

Man U kwisha habari yake!............Sioni dalili yoyote ya wao kulichukua hili kombe.
 
Kwa 98% Man & Barc
tayari wameshaingia fainali.
Mtazamo wngu huo.
 
Mpira wa jana sikuona uzuri wake zaidi ya rafu zisizo kuwa za msingi na ngumi mkononi
 
amini nawaambieni hakuna kocha kama morinho na hakuna timu wanacheza mpira wa kutafutia red card timu pinzani kama barca. karibu kila big mechi zote barca ambazo anacheza lazima red card itokee afu ndo washinde bila red card barca wanafungwa kama nimfuatiliaji wa mpira lazma umeona kitu hiki..
 
Ebanae mourinho kauliza swali zuri sana, kwa nini kila timu inayocheza na Barca kwenye 1/4 au 1/2 final lazima mchezaji wake apewe kadi?
 
...simply because Barca are unplayable!

kama "manure" watakutana na barca kwenye final si suala la "if" kutakuwa na any red cards bali "how many" red cards will be dished out.

candidates wa red cards ni rafael, vidic, scholes
 
HTML:
amini nawaambieni hakuna kocha kama morinho na hakuna timu wanacheza mpira wa kutafutia red card timu pinzani kama barca. karibu kila big mechi zote barca ambazo anacheza lazima red card itokee afu ndo washinde bila red card barca wanafungwa kama nimfuatiliaji wa mpira lazma umeona kitu hiki..

Inaonyesha unavyomshabikia Morinho, hiyo Madrid ya 29% ball possession huku wakiwa nyumbani ina indicate nini? wachezaji walikuwa wanatafuta mpira kwa tochi wasiuone. Ile ndoto ya Morinho kutaka kuvunja rekodi za kila anakoenda anatwaa ubingwa zimeota mbawa mwaka huu.
 
Mourinho kachemsha jana big time, game plan yake ilikuwa hovyo....Real hawakucheza kwa ajili ya kushinda ila kuweka defence kali ili kutoa sare na hapo ndio ikala kwao!
 
Ukiangalia mechi zote with exception of Barca vs Inter, Barca wanafunga baada ya timu pinzani kupata red card? Angalia dhidi ya Arsenal, Chelsea, Inter jana Madrid...? Sio kila siku mnaisema Man Utd kuwa inabebwa inapokuja kwa Barca mnadai wanajua mpira, Mourinho and co had them where he wanted them kama alivyofanya kwenye Copa Del Rey na kwenye El Clasico two weekends ago.
 
Ebanae mourinho kauliza swali zuri sana, kwa nini kila timu inayocheza na Barca kwenye 1/4 au 1/2 final lazima mchezaji wake apewe kadi?

Simple, Timu pinzani wanakuwa na frustration kwa sababu muda mrefu wanakuwa hawana mpira hivyo wanakaba kwa nguvu na kufanya foul nyingi hivyo ni rahisi kupata kadi.

Fedheha kitu kibaya ndugu yangu, nilimwona mwanariadha mmoja wa Kenya simkumbuki kwenye tv jina simkumbuki, ilikuwa ni marathon na alikuwa ameongoza kwa muda mrefu sana, bado kama mita 50 yule mwanariadha maarufu wa Ethiopia Haile Gebrselassie akapita kama mshale, Mkenya kuona anapitwa acha amtandike Haile konde la mgongoni, ukijiuliza kilichofanya ampige mwenzake ni nini, ni fedheha tu ya kuzidiwa.

Hivyo hata timu pinzani wanapocheza na barca wakiona wenzao wanapiga complete pasi kama 40 mfululizo kinachofuata ni kujiuliza kwa nini watufedheheshe hivi bwana nikimpata mmoja lazima nimfanyie na mpira una sheria zake na red card ndiyo the highest penalty a referee can give.
 
Mourinho kachemsha jana big time, game plan yake ilikuwa hovyo....Real hawakucheza kwa ajili ya kushinda ila kuweka defence kali ili kutoa sare na hapo ndio ikala kwao!
Plan ya jana ni kama aliyoitumia kwenye mechi mbili zilizopita... contain them if possible ikiwezekana smash and grab... In fact he was shooting for 0-0 the game tilted Barcelona's way baada ya kadi nyekundu surprise surprise.
 
Simple, Timu pinzani wanakuwa na frustration kwa sababu muda mrefu wanakuwa hawana mpira hivyo wanakaba kwa nguvu na kufanya foul nyingi hivyo ni rahisi kupata kadi.

Fedheha kitu kibaya ndugu yangu, nilimwona mwanariadha mmoja wa Kenya simkumbuki kwenye tv jina simkumbuki, ilikuwa ni marathon na alikuwa ameongoza kwa muda mrefu sana, bado kama mita 50 yule mwanariadha maarufu wa Ethiopia Haile Gebrselassie akapita kama mshale, Mkenya kuona anapitwa acha amtandike Haile konde la mgongoni, ukijiuliza kilichofanya ampige mwenzake ni nini, ni fedheha tu ya kuzidiwa.

Hivyo hata timu pinzani wanapocheza na barca wakiona wenzao wanapiga complete pasi kama 40 mfululizo kinachofuata ni kujiuliza kwa nini watufedheheshe hivi bwana nikimpata mmoja lazima nimfanyie na mpira una sheria zake na red card ndiyo the highest penalty a referee can give.
Van Persie alimfanyia nani foul?
 
Van Persie alimfanyia nani foul?

Hakuwa na mpira muda mrefu hivyo akawa frustrated alivyoupata sasa alichofanya ni kupiga mpira pamoja na kwamba refa alikuwa ameshapuliza kipenga kuashiria alikuwa offside, sasa refa angefanyaje uamuzi ulikuwa ni wake na alichoamua ni kumpa red card.
 
Kwa uelewa wako wa mpira ile offence ina warrant kadi ya njano au ni verbal warning tu? Wachezaji wangapi uwa wanapiga mpira kwa hasira pamoja na kusikia filimbi? Heck juzi Hernandez kafunga goli pamoja na kuwa alisikia filimbi ata kabla hajatuliza mpira na hakupewa kadi wala verbal warning.
 
Ndo ninachosema uamuzi ulikuwa ni wa refa, angeweza kuamua vinginevyo lakini hicho ndo alichoamua, kiwe kibaya au kizuri refa akishaamuaa ndo kitachofuatwa kwa wakati huo.

Mimi sibishani na wewe, nilikuwa najaribu kujibu swali lako kwa nini inakuwa ni rahisi kupata kadi na nikakutolea mfano wa huyo Mkenya, Inawezekana hisia zako za kwamba labda barca wanabebwa zikahold lakini waswahili wanasema ukibebwa jishike sio unabebwa halafu unanyosha miguu na kuanza kuteleza kama kambale.

Kama ni makosa ya refa au makosa ya timu pinzani wao wanayatumia na wanafanya vizuri all in all jamaa mpira wanujua, huenda marefa nao wanapata burudani hivyo wanataka timu iendelee hadi mwisho wa mashindano.
 
amini nawaambieni hakuna kocha kama morinho na hakuna timu wanacheza mpira wa kutafutia red card timu pinzani kama barca. karibu kila big mechi zote barca ambazo anacheza lazima red card itokee afu ndo washinde bila red card barca wanafungwa kama nimfuatiliaji wa mpira lazma umeona kitu hiki..

Hah! hah! hah! Ile fainali ya UEFA Man U alipigwa 2 wakiwa wangapi uwanjani?
 
Ukiangalia mechi zote with exception of Barca vs Inter, Barca wanafunga baada ya timu pinzani kupata red card? Angalia dhidi ya Arsenal, Chelsea, Inter jana Madrid...? Sio kila siku mnaisema Man Utd kuwa inabebwa inapokuja kwa Barca mnadai wanajua mpira, Mourinho and co had them where he wanted them kama alivyofanya kwenye Copa Del Rey na kwenye El Clasico two weekends ago.

Crap! Barca opponents should achieve their preferred results fairly and not by illegal means. When you start kicking your opponents or kicking the ball after the whistle has gone then you only get what yo deserve.
 
Back
Top Bottom