Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
ZilipendwaMadrid ndio klabu ya kwanza Ulaya kuchukua UEFA mara mbili mfululizo.....Acha uongo Barcelona walifungwa Bernabeu kabla ya mechiya jana
Kwani mashabiki wa Barca waliondoa imani kwa timu yao kuambulia patupu taji laliga,UCL?Barcelona ilionyesha mchezo mzuri ugenini na kupata ushindi dhidi ya Real Madrid ambayo imeondolewa katika kuwania taji la ligi ya Uhispania.
Shambulio la kipindi cha pili la Luis Suarez na penalti ya Lionel Messi baada ya Dani Carvajal kupewa kadi nyekundu kwa kunawa mpira, bao lililosaidia Barcelona kupanda juu ya jedwali kwa alama 14 dhidi ya Real.
Karim Benzema alipiga mwamba wa goli na kukosa nafasi mbili za wazi katika kipindi cha kwanza , lakini timu hiyo ya nyumbani ilibaki bila jibu katika mechi hiyo ya El Clasico.
Los Blancos ilianza huku Gareth Bale akiwa benchi, na ijapokuwa alimlazimu kipa Marc-Andre ter Stegen kuokoa mipira baada ya kuingizwa kufuatia kutolewa kwa Carvajal, mshambuliaji huyo wa Wales alishindwa kuokoa timu yake.
Badala yake mchezaji wa ziada Aleix Vidal aliongeza chumvi katika kidonda katika dakika za lala salama kwa kupata bao la tatu.
Ni mara ya kwanza Barcelona imeweza kushinda mechi tatu za ugenini mfululizo katika uwanja wa Bernabeu, na matokeo hayo yanakiwacha kikosi cha Zinedine Zidane katika nafasi ya nne.
Acha uongo pia club ya kwanza kuchukua uefa mara mbili mfululizo ilikuwa AC MILAN 88/89Madrid ndio klabu ya kwanza Ulaya kuchukua UEFA mara mbili mfululizo.....Acha uongo Barcelona walifungwa Bernabeu kabla ya mechiya jana
Huna akili wewe. 2015 Madrid kageuzwa mbele na nyuma, najua umeshaelewa. April 2016 Madrid alishinda nou camp. 3 December 2016 wakatoka sare 1:1 April mwaka huu Madrid akachezea dude 2:3 akiwa kwake bernabeu. Jana jana kashikishwa tena ukutaDecember unatuletea habari za kikuda. Kama huna evidence kalisha domo lako kimyaMadrid ndio klabu ya kwanza Ulaya kuchukua UEFA mara mbili mfululizo.....Acha uongo Barcelona walifungwa Bernabeu kabla ya mechiya jana
Zidane ndio amewezesha Madrid kuchukua UEFA mara mbili mfululizo kitu ambacho Barcelona wameshindwa.....UEFA ya mwaka huu bingwa ni PSG Barcelona hana chake ataishia kubba la liga tuMwakani hata UEFA hawa ndugu walipo qualify sitashangaa
Zidane akifukuzwa kwa aibu Madrid sitashangaa pia
Uefa gani?cos wakati inaanza mwaka 1956-1960 ilichukua Real Madrid (4 times mfululizo) ,AC milan wamewahi kuchukua mara mbili mfululizo 1988 na 1989 !!Zidane ndio amewezesha Madrid kuchukua UEFA mara mbili mfululizo kitu ambacho Barcelona wameshindwa.....UEFA ya mwaka huu bingwa ni PSG Barcelona hana chake ataishia kubba la liga tu
Barcelona wameshawahi kuchukua UEFA mara mbili mfululizo?.....Madrid walichofanya msimu uliopita kinatosha BARCELNAA watachukua La liga UEFA WANACHUKUA PSG.....HAKUNA TIMU YENYE UWEZO WA KUWATOA PSG UEFA.Uefa gani?cos wakati inaanza mwaka 1956-1960 ilichukua Real Madrid (4 times mfululizo) ,AC milan wamewahi kuchukua mara mbili mfululizo 1988 na 1989 !!
Nyie na historia zenu za kukaririshwa endelean kumwagiana sumu tu
We ni shabiki tia maji unaipa credit PSG kabla hata haujakutana nao shame on youBarcelona wameshawahi kuchukua UEFA mara mbili mfululizo?.....Madrid walichofanya msimu uliopita kinatosha BARCELNAA watachukua La liga UEFA WANACHUKUA PSG.....HAKUNA TIMU YENYE UWEZO WA KUWATOA PSG UEFA.
mi ni Madrid hata jana nilijua Barca watashinda...Madrid hawako kwenye form yao sasa hivi..huo ndio ukweli....timu iliyoko kwenye form ni PSG....hakuna timu Ulaya yenye uwezo wa kuwatoa PSG...huo ndio ukweli mchunguWe ni shabiki tia maji unaipa credit PSG kabla hata haujakutana nao shame on you
PSG wachumba tu ndio tunawahitaji sana hao watu why hatujapewa sisi kama ilivyozoeleka?mkuu zile ni league mbili tofauti achana na Barca kabisa especially kwenye UEFAmi ni Madrid hata jana nilijua Barca watashinda...Madrid hawako kwenye form yao sasa hivi..huo ndio ukweli....timu iliyoko kwenye form ni PSG....hakuna timu Ulaya yenye uwezo wa kuwatoa PSG...huo ndio ukweli mchungu
Hao PSG wakati haina makali yake ya sasa hivi ndio waliwafunga 4 kwa 0 kwao....mechi ya marudio mkabebwa na refaPSG wachumba tu ndio tunawahitaji sana hao watu why hatujapewa sisi kama ilivyozoeleka?mkuu zile ni league mbili tofauti achana na Barca kabisa especially kwenye UEFA
mi ni Madrid hata jana nilijua Barca watashinda...Madrid hawako kwenye form yao sasa hivi..huo ndio ukweli....timu iliyoko kwenye form ni PSG....hakuna timu Ulaya yenye uwezo wa kuwatoa PSG...huo ndio ukweli mchungu
We mpira umeanza kushangilia mwaka jana sikushangai ile ni UEFA baba hata hao Madrid wanaweza wakaingia quarter final experience mattersHao PSG wakati haina makali yake ya sasa hivi ndio waliwafunga 4 kwa 0 kwao....mechi ya marudio mkabebwa na refa
mpira hauna cha historia ukweli ni kwamba hakuna timu yoyote yenye uwezo wa kuwatoa PSG UEFA.....PSG wako kwenye peak yao wakati vilabu vikubwa kama Bayern, Barcelona , Madrid hamna kitu yamebaki majina tuWe mpira umeanza kushangilia mwaka jana sikushangai ile ni UEFA baba hata hao Madrid wanaweza wakaingia quarter final experience matters
nazungumzia UEFA huko ligue 1 PSG hana mpinzaniHii PSG iliyofungwa na Strousbourg na Neymar akiwa ndani?
nazungumzia UEFA huko ligue 1 PSG hana mpinzani
achana na huyu jamaa hajui mpiraHana mpinzani wakati nimekutajia timu iliyomfunga?