sili
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 291
- 142
Sijawahi ona huu ubebaji utakuwa wa kipekee sana.3-0 barca kabebwa!!!! swali gumu jibu rahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi ona huu ubebaji utakuwa wa kipekee sana.3-0 barca kabebwa!!!! swali gumu jibu rahisi
Tatizo siyo refaree waanze kutumia line technology na technology nyingine ili kupunguza utata, referee na ni hinadamu anaweza asione tukio kwa wakati!Barca benefits too much from referees...spanish referees are,the worst on the world..mxxxxx
Sasa mtu kadaka mpira ulitaka refa afanyeje?3-0 barca kabebwa!!!! swali gumu jibu rahisi
Kinyume chake kaka....[HASHTAG]#Hallamadrid[/HASHTAG] 3 barca 0
Bwihi [emoji16] [emoji16]
Kinyume chake ni [HASHTAG]#forcabarca[/HASHTAG]Kinyume chake kaka....
We endelea kuchangia tuhuu uzi mbona umechanganywa mods vipi jamani
vipi mkuu nini kilicho tokea maana sikuiangalia mechi nipe resultDah..! hapa ingekula kwangu nilidhani saa 6 kasoro 5, ngoja nniwakimbie kunguni kwa muda nikashuudie chama linavyojihakikishia ubingwa leo, hakuna cha nesi wala neema ni kipigo tu, kila zama na nabii wake sasa ni zama za nabii CR7 na Bale.
wewe umechiz eti huyo neymar katokea wapi tena au ndio kichapo kime kuchanganya?Kuelekea kwenye pambano la Real Madri v Fc Barcelona kwenye La Liga, team hizi zimetofautiana kwa Point 4 tu, Madrid ndie aliyempita Barcelona, pambano hili pia linajulikana kama El Classico huku likiwapambanisha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Real Madrid Line-Up
Lopez
Carvejal
Marcelo
Pepe
Ramosi
Xabi Alonso
Luca Modric
Di Maria
Gareth Bale
Ronaldo
Benzema
Fc Barcelona Line-Up
Valdes
Dani Alves
Jordi Alba
Gerald Pique
Javier Mascherano
Sergio Busquets
Xavi Hernandezi
Andres Iniesta
Cesc Fabregas
Neymar Jr
Lionel Messi.
Uzi umeunganishwa na wa miaka mitatu iliyopitawewe umechiz eti huyo neymar katokea wapi tena au ndio kichapo kime kuchanganya?
Alaa kumbeUzi umeunganishwa na wa miaka mitatu iliyopita