Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Barca benefits too much from referees...spanish referees are,the worst on the world..mxxxxx
Tatizo siyo refaree waanze kutumia line technology na technology nyingine ili kupunguza utata, referee na ni hinadamu anaweza asione tukio kwa wakati!
 
Mfalme wa Soka Duniani, Messi10, Kaweka Rekodi ya Kusaidia (assist) Goli la 3 kufungwa Huku Akiwa Peku..
2dc9a1b81c37fd81bdbc5e215fbb266c.jpg
 
huu uzi mbona umechanganywa mods vipi jamani
 
Barcelona ilionyesha mchezo mzuri ugenini na kupata ushindi dhidi ya Real Madrid ambayo imeondolewa katika kuwania taji la ligi ya Uhispania.
Shambulio la kipindi cha pili la Luis Suarez na penalti ya Lionel Messi baada ya Dani Carvajal kupewa kadi nyekundu kwa kunawa mpira, bao lililosaidia Barcelona kupanda juu ya jedwali kwa alama 14 dhidi ya Real.
Karim Benzema alipiga mwamba wa goli na kukosa nafasi mbili za wazi katika kipindi cha kwanza , lakini timu hiyo ya nyumbani ilibaki bila jibu katika mechi hiyo ya El Clasico.
Los Blancos ilianza huku Gareth Bale akiwa benchi, na ijapokuwa alimlazimu kipa Marc-Andre ter Stegen kuokoa mipira baada ya kuingizwa kufuatia kutolewa kwa Carvajal, mshambuliaji huyo wa Wales alishindwa kuokoa timu yake.
Badala yake mchezaji wa ziada Aleix Vidal aliongeza chumvi katika kidonda katika dakika za lala salama kwa kupata bao la tatu.
Ni mara ya kwanza Barcelona imeweza kushinda mechi tatu za ugenini mfululizo katika uwanja wa Bernabeu, na matokeo hayo yanakiwacha kikosi cha Zinedine Zidane katika nafasi ya nne.
 
Dah..! hapa ingekula kwangu nilidhani saa 6 kasoro 5, ngoja nniwakimbie kunguni kwa muda nikashuudie chama linavyojihakikishia ubingwa leo, hakuna cha nesi wala neema ni kipigo tu, kila zama na nabii wake sasa ni zama za nabii CR7 na Bale.
vipi mkuu nini kilicho tokea maana sikuiangalia mechi nipe result
 
Kuelekea kwenye pambano la Real Madri v Fc Barcelona kwenye La Liga, team hizi zimetofautiana kwa Point 4 tu, Madrid ndie aliyempita Barcelona, pambano hili pia linajulikana kama El Classico huku likiwapambanisha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Real Madrid Line-Up
Lopez
Carvejal
Marcelo
Pepe
Ramosi
Xabi Alonso
Luca Modric
Di Maria
Gareth Bale
Ronaldo
Benzema

Fc Barcelona Line-Up
Valdes
Dani Alves
Jordi Alba
Gerald Pique
Javier Mascherano
Sergio Busquets
Xavi Hernandezi
Andres Iniesta
Cesc Fabregas
Neymar Jr
Lionel Messi.
wewe umechiz eti huyo neymar katokea wapi tena au ndio kichapo kime kuchanganya?
 
Madrid ndio klabu ya kwanza Ulaya kuchukua UEFA mara mbili mfululizo.....Acha uongo Barcelona walifungwa Bernabeu kabla ya mechiya jana
 
Tatizo bado wanajenga timu kumzunguka Ronaldo.
Ila ukweli unabaki, madrid ndio timu bora duniani. Hawawezi wakawa kila mwaka wanachukua vikombe wao tu.
 
Back
Top Bottom