Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Hii mechi inaonyesha itakuwa na magoli mengi leo Pazi

2-2
 
Last edited by a moderator:
Dk45 karim Benzema a napiga kichwaaaa anakosa ncha chache na refa anapuliza HT 2-2
 
Benzema kichwa chake kinatoka nje. HT Real 2 Barca 2
 
Nipeni link tafadhali kisembusi kimekata ghafla
 
Kama C Ronaldo atawacha kucheza Kama Geroud atafunga lasivyo akicheza Kama Geroud hakuna jipya Bale Leo Kama Downing!

Ronaldo anataka sifa kuwa alifunga na yeye, mbaya zaidi Messi kafunga

Downing lol unamkumbuka mashine yenu kumbe

Nani atashinda hii game leo?
 
Ronaldo anataka sifa kuwa alifunga na yeye, mbaya zaidi Messi kafunga

Downing lol unamkumbuka mashine yenu kumbe

Nani atashinda hii game leo?
Real Madrid atashinda 4-2 au vyovyote .
 
Pia kama Benzema ataamua baadhi ya mipira anayopokea awe anaigawa kwa wenzake walio kwenye position Madrid atashinda.
 
Real Madrid wameanza kucheza Kama Stoke sasa hata Stoke wanatandaza, Leo siwasikii mashabiki wa Barca Humu au mpaka wapate goli?
 
Dk 51 bale amekimbiza Kama Bale wa totenham Benzema anakosa .
 
Benzema ameng'ara Kweli kweli. Penalty laini Ronaldo anascore.
 
Ronaldoooooooooo anapatia Real Madrid goli la 3 sasa Real 3 Barca 2, inaonekana Ronaldo amekatwa nje ya Box na Alves dk Inaenda 55 Barca na mpira......
 
Mh RM kabebwa......ile sio Penalt..ilkuwa nje ya box
 
Benzema a napiga kisigino Bale anawaki kona dk 58.... Leo Messi kafichwa asije kutapika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…