Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama C Ronaldo atawacha kucheza Kama Geroud atafunga lasivyo akicheza Kama Geroud hakuna jipya Bale Leo Kama Downing!
Kama C Ronaldo atawacha kucheza Kama Geroud atafunga lasivyo akicheza Kama Geroud hakuna jipya Bale Leo Kama Downing!
Real Madrid atashinda 4-2 au vyovyote .Ronaldo anataka sifa kuwa alifunga na yeye, mbaya zaidi Messi kafunga
Downing lol unamkumbuka mashine yenu kumbe
Nani atashinda hii game leo?
Real Madrid wameanza kucheza Kama Stoke sasa hata Stoke wanatandaza, Leo siwasikii mashabiki wa Barca Humu au mpaka wapate goli?