Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Aleyn

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
21,058
Reaction score
36,272
Kuelekea kwenye pambano la Real Madri v Fc Barcelona kwenye La Liga, team hizi zimetofautiana kwa Point 4 tu, Madrid ndie aliyempita Barcelona, pambano hili pia linajulikana kama El Classico huku likiwapambanisha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Real Madrid Line-Up
Lopez
Carvejal
Marcelo
Pepe
Ramosi
Xabi Alonso
Luca Modric
Di Maria
Gareth Bale
Ronaldo
Benzema

Fc Barcelona Line-Up
Valdes
Dani Alves
Jordi Alba
Gerald Pique
Javier Mascherano
Sergio Busquets
Xavi Hernandezi
Andres Iniesta
Cesc Fabregas
Neymar Jr
Lionel Messi.
 
Mpira ni saa 5 kamili.

Dah..! hapa ingekula kwangu nilidhani saa 6 kasoro 5, ngoja nniwakimbie kunguni kwa muda nikashuudie chama linavyojihakikishia ubingwa leo, hakuna cha nesi wala neema ni kipigo tu, kila zama na nabii wake sasa ni zama za nabii CR7 na Bale.
 
Timu ndo zimeingia uwanjani. Wanasimama dk moja kuombekeza kfo cha waziri mkuu wa zamani
 
RMA wamelizwa....itakuwa vigumu kao kulikomboa hilo goal

Goal safi sana kutoka kwa A. Iniesta!
 
Karim Benzema kakosa goal la wazi....RMA wakiendelea kupoteza nafasi kama hizi watazijutia
 
Messi naye kakosa goal la wazi....Hii match ni ngumu sana kutabiri
 
Madrid kazi ipo, toeni Benzema.
 
Selfish Benzema real sucks.....na ndo anawaua pasi safi from Di Maria
 
Banzema kapiga goal la pili....

Pass ya Di Maria tena...

Leo sina hakika kama Barca watapona...beki yao inapwaya sana!
 
RM 2 Barca 1 -Benzema kafunga mawili ya chap chap!
 
Back
Top Bottom