Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Real Madrid V Fc Barcelona, From Santiago Bernabeu Stadium 23/03/2014

Sasa Bale aanze kukokota mpira speed Leo watafungika tu Barca!
 
Duh Bonge la MEchi...very good combination Di Maria and Benzema...kawapa 2nd goli lead
 
Karim Benzema anakosa hat-trik ilikuwa ncha chache Shakira ameokoa Leo Bi Mariam ananyanyasa tu Barca.
 
Benzeeeeeeeeeeeeeeeema dahhhhhhhhh kakosa goli la 3 hapa
 
Benzema ahh Pique anaokoa. DI MARIA yupo ktk form ya ajabu
 
Di Maria on fire aiseeee...very good combination...Barca have mountain to climb
 
Ronaldo hatizami wenzake Kama vile mtu akipata lazima uwe wake mpira na sikupasii anatakiwa kuchezesha na Bale ajaribu Kuwa na form ya Di Maria.
 
Endeleeni kutupa matokeo wengi tunafuatilia wakuu..asanteni sana wana jf
 
gooooaaaal kibulibuli kimefunga Messsi nafikiri Pepe atakuwa kalima mtu hehehehe nasikia John Terry yupo uwanjani kaja kumtizama Pepe anavyocheza ajifunze hehe dk 41 2-2 bale na mpira dk ya 43 ni goal kick.
 
Back
Top Bottom