[emoji108] [emoji3] [emoji3] [emoji2] acha hizoooLiverpool msiwe kama watoto kila kitu kusubiri kuambiwa na kocha,mtegueni kiuno Ronaldo ili kuleta mlingano,huyo Ramos alitumwa kufanya hiyo kazi kipindi cha kwanza
Asante mwl kashashaExperience Kwenye IT, Unapotaka Kutrubleshoot, Tunafanya Kitu Kinaitwa Problem Isolation, Ndicho Alichofanya Ramos Leo [emoji16]
Tukishinda nitakimbia uchi toka jukwaa la Siasa hadi jukwaa la wakubwaMm nipo madrid ujue
Pole,.Nilikuwa gizani, umeme ulikatika.
What did u expect?possession inasomeka 66-34
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nipo madrid ujue
Wozaaaaaah[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]humu humu Kwanzaa!!
Kati ya Cr7 na Marcelo namchagua Marcelo!!!yuko vzri mnoooMarcelo ndio hatari zaidi, asipocheza huyo, hao wengine huwaoni.
Pole bro.Ramos alaaniwe yeye na kizazi chake chote
[emoji16]Asante mwl kashasha
Umeona ee[emoji3] [emoji2] [emoji3]Rukeni Rukeni weee but hakikisheni Tu game inaisha ndani ya dk 90..... Whoever wins ni sawa Tu, hatutaki kuchelewa kulala leo !!!
Kumbe wachawi tunao humu humu JFYaani Modrick ananipa raha
Eeee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]Umeona ee[emoji3] [emoji2] [emoji3]
Aisee hizi mambo zenu mnazoongea halafu badae mnakana mlichoongeaTukishinda nitakimbia uchi toka jukwaa la Siasa hadi jukwaa la wakubwa
Wewe nenda kalale wengine tuko tayari hadi penatiRukeni Rukeni weee but hakikisheni Tu game inaisha ndani ya dk 90..... Whoever wins ni sawa Tu, hatutaki kuchelewa kulala leo !!!
[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe wachawi tunao humu humu JF
Hizo ni ndoto aiseeeFT: Liverpool 1-0 Madrid
nazingua nn mamaaJamaa anazinguaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana Mkuu.Sannaa!halafu wanaweza fungwa kizembee!