OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mwl kashasha
Nitalala baada ya dk 90 kuisha ambapo mpira nao utakuwa umekwisha.Wewe nenda kalale wengine tuko tayari hadi penati
mshenzi sana huyu bila huyu ronaldo ni kama paziaKati ya Cr7 na Marcelo namchagua Marcelo!!!yuko vzri mnooo
Kabisa mkuu, Marcelo anaibeba sana Madrid, yuko vizuri. Naamini hata Zidane kichwa kinamuuma zaidi akikosekana Marcelo kuliko Cr7.Kati ya Cr7 na Marcelo namchagua Marcelo!!!yuko vzri mnooo
Ila naombea liver washinde sema ndo hvyo hali ngumu sanaaaa aiseee kwa liver.FT: Liverpool 1-0 Madrid
Jecha akiwepo....Madrid anashinda bila kikwazo
baada ya sarah kutoka, naona anajiachia tuKati ya Cr7 na Marcelo namchagua Marcelo!!!yuko vzri mnooo
Liverpool hawana mtukutu, lkn huyu Ronald anatakiwa akabwe kama gatuso alivyomkabaga, unachezewa rafu huku unasindikizwa na matusi, ila Ramos kaniboa sanaLiverpool msiwe kama watoto kila kitu kusubiri kuambiwa na kocha,mtegueni kiuno Ronaldo ili kuleta mlingano,huyo Ramos alitumwa kufanya hiyo kazi kipindi cha kwanza
Jukwaa la siasa watakushangaa lkn MMU watakupokea kwa mikono miwili,wanapenda hizo mamboTukishinda nitakimbia uchi toka jukwaa la Siasa hadi jukwaa la wakubwa
Daah[emoji23]nazingua nn mamaa
Hapana mimi naona Modric ni bora zaidiKabisa mkuu, Marcelo anaibeba sana Madrid, yuko vizuri.
Yaani Liverpool wameyumba mnoo kutoka Salaahbaada ya sarah kutoka, naona anajiachia tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jukwaa la siasa watakushangaa lkn MMU watakupokea kwa mikono miwili,wanapenda hizo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmu na jlwJukwaa la siasa watakushangaa lkn MMU watakupokea kwa mikono miwili,wanapenda hizo mambo