Na we tukutegue niniTushajua dawa ya Salah....ni kumtegua hilo bega tu!
Hamna mrembo angalia page ya kwanza kuna maongezi nilikuwa nafanya na mleta uziAlikuwa anaangalia upepo
KajisahaulishaDaah[emoji23]
AiseeOyaa ray,shunie zungusheni round nakuja naenda kuongea na babe kidogo halftime hii...[emoji124][emoji124]
Nabadili uelekeo nitaenda jukwaa la ComplainsJukwaa la siasa watakushangaa lkn MMU watakupokea kwa mikono miwili,wanapenda hizo mambo
Shabiki maandazi[emoji23]Kajisahaulisha
Na mm naenda kucheza na babe kidogo nitarudiOyaa ray,shunie zungusheni round nakuja naenda kuongea na babe kidogo halftime hii...[emoji124][emoji124]
wakiendelea kudekadeka hivyo wataaibishwa mkuu.Yaani Liverpool wameyumba mnoo kutoka Salaah
Poa poa miye ngoja niongezee Bavaria hapa!Oyaa ray,shunie zungusheni round nakuja naenda kuongea na babe kidogo halftime hii...[emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvuShabiki maandazi[emoji23]
Mimi mjanja kama RonaldoNa we tukutegue nini
[emoji6]Aisee
Meza analinda nani sasa shuniiii [emoji51]Na mm naenda kucheza na babe kidogo nitarudi