Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

nafuatilia mtanange hapa na jamaa kitaa! Watazamaji wako kwenye tense emotions! Ni half time. Najaribu kiwauliza jamaa niliokaribu nao, kwamba hivi ushabiki wa hizi timu ni mkubwa kiasi hiki hapa nchini!? Nashangazwa na jibu ninalopata... nikuwa wengi ni mashabiki wa hizi timu na hao hao wameweka mikeka! Mzoefu wa kubeti anasema hakuna kipindi kigumu kama kuweka mikeka wakati huo ni shabiki wa timu....! Wengine tupe uzoefu.
 
Wadada wote kwenye uzi huu mtoke mnaleta umbea tu humu siwaelewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Woyooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom