Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Fans and UCL trophy are there for them, thats why they will never walk alone

Refa tu ndo atakae wasaidia RM
Mkuu, leo ndo Madrid watapiga mpira wa karne, maana wanaukumbuka msemo wa kocha wao katika fainali iliyopita "It is the whole world against Madrid". Sasa leo Liverpool wenyewe ni kinyume cha huo msemo.
 
Liver asipotwaa ubingwa leo naombwa nipigwe life ban humu ndani.

NB. Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa mashetani wekundu kutoka jiji la Manchester, huyu mtani wangu (Liverpool) leo nimejikuta maombi yangu ya yeye kufungwa yamegongwa mwamba hivyo naomba kusema leo mtani anashinda mapema saaana.
 
Kwa namna yoyote naomba Liverpool ashinde japo mimi ni the blues..

Najua Liverpool akishinda kuna uwezekano Salah kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia.

Nakuja kwa updates zaidi
hivi itarushwa live ktk chanel gani ya kibongobongo?
 
Liverpool 2

Goli la kwanza dk ya 37, goli la pili dakika ya 86.

Real Madrid 1.

Goli linafungwa dakika ya 72.
 
Mkuu sasa wakati huo Madrid wanaupiga mwingi hao Liver watakuwa wamekaa tu wanawaangalia?
Mkuu, leo ndo Madrid watapiga mpira wa karne, maana wanaukumbuka msemo wa kocha wao katika fainali iliyopita "It is the whole world against Madrid". Sasa leo Liverpool wenyewe ni kinyume cha huo msemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…