Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Niko Liverpool leo ..

Nje ya mada kidogo..
Kwanini Liverpool wanaitwa Vijogoo?
Kwasababu ya hako kajogoo{ mnyama ambaye wame mfananisha na jogoo} pichani katikati kwa hiyo wabongo wakaita hivo
images.jpg
 
Unakumbuka pale nimekwambia nataka kulipia sijui nilikwambia nimeshalipia lakini hakijaharibika kitu hata hivyo tar 3 ningetakiwa nilipie ni yaleyale tu
Okay sio mbaya holaaMadrid!!!
 
Kwenye nembo yao kuna jogoo angalia ile nembo ya Liverpool utaona.
Hata mi nilijua nickname imetokana na yule ndege lakini yule ndege sio kuku labda kama ndege yeyote akiwa dume anaitwa jogoo.. Kidogo Spurs walistahili kuitwa vijogoo kama ishu ni ndege aliepo kwenye nembo yao
 
Back
Top Bottom