Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Acha masihara basi mida ndo hiiKama hakuna TV huwezi kupata mtandao wa 4G ku-stream mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha masihara basi mida ndo hiiKama hakuna TV huwezi kupata mtandao wa 4G ku-stream mpira
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naona liver leo wamekamia sana hapa uwanjani
Nakumbusha tu mahenga walipata kusema "mkamia maji hayanywi"
Rukeni rukeni tu mwishowe mtatulia
"Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake"walipata kujisemea wahenga
Kwa wenye azam UBC ya Uganda na Ktn ya Kenya zzinaonyeshaHakuna chanel ya kibongo inayorusha Zaidi ya Dstv.
Madrid wanawasoma tuDak 10 za mwanzo liver wameupiga wa maana ...
Jamani mwenye link ebu msaidieni ndugu yangu uko wapi huko ambako hakuna tv wala vibanda umiza jamaniAah, sanaaa
Nipen link sasa niangalie online kwetu hakuna tv wala vibanda vya mpira
HahhahahahKama hakuna TV huwezi kupata mtandao wa 4G ku-stream mpira
Hahahaaa wewe dada mkorofi sanaJamani kwenye link ebu msaidieni ndugu yangu uko wapi huko ambako hakuna tv wala vibanda umiza jamani
timu gani weyeeNipo hapaaaa
Kwa nini mkuu jamani ukorofi wangu uko apiHahahaaa wewe dada mkorofi sana
Maswali yakoKwa nini mkuu jamani ukorofi wangu uko api
Sallah [emoji23][emoji23][emoji23]timu gani weyee