ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Akifunga utamwonaDk ya 24 bila bila Liverpool wanashambulia sana....Ronald simwoni uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akifunga utamwonaDk ya 24 bila bila Liverpool wanashambulia sana....Ronald simwoni uwanjani
Kama njia zote zimeshindikana afungulie tu Sibuka Fm wanatangaza mechiJamani mwenye link ebu msaidieni ndugu yangu uko wapi huko ambako hakuna tv wala vibanda umiza jamani
Sallah [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah!mpk hurumaaSalah masikini nipo madrid lakini nimemuonea huruma
Yaani daahSalah masikini nipo madrid lakini nimemuonea huruma
Niliwaambia maneno ya wahenga hayaanguki bure "mkamia maji hayanywi"Naona liver leo wamekamia sana hapa uwanjani
Nakumbusha tu mahenga walipata kusema "mkamia maji hayanywi"
Rukeni rukeni tu mwishowe mtatulia
"Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake"walipata kujisemea wahenga
Yaani daah
Sanaaa nimejisikia vibaya alivyokuwa analiaDaah!mpk hurumaa