Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Yaani!DahSanaaa nimejisikia vibaya alivyokuwa analia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani!DahSanaaa nimejisikia vibaya alivyokuwa analia
Ngoja atulie kwanza,.Sanaaa nimejisikia vibaya alivyokuwa analia
daa mkuu nashukuru sana, hapa nilikuwa naangaika sana na network ya voda online.Kwa wenye azam UBC ya Uganda na Ktn ya Kenya zzinaonyesha
Mwenye Madrid huyooRamos alaaniwe yeye na kizazi chake chote
Shunie saidia kunifuta machoz. Nimeumia sanaSalah masikini nipo madrid lakini nimemuonea huruma
Hahaha...Inaonekana wachezaji wa Liverpool wameathirika phsychologically na salah's injury
Yaap!hawako poaInaonekana wachezaji wa Liverpool wameathirika phsychologically na salah's injury
Jamani pole sana uko liver eenh Brian poleni najua maumivu mnayojisikiaShunie saidia kunifuta machoz. Nimeumia sana
Kisa?!!!Ramos alaaniwe yeye na kizazi chake chote
KabisaaInaonekana wachezaji wa Liverpool wameathirika phsychologically na salah's injury