Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahahah nimeuliza tu uko alipo ambako hakuna tv wala vibanda umizaMaswali yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah nimeuliza tu uko alipo ambako hakuna tv wala vibanda umizaMaswali yako
AhhhaUstadh Mbona Muoga Muoga, Au Ramos Kajipaka Mafuta ya Nguruwe Nini?
SanaaaaaaaAiseeee mechi tamu
Yaani uoga unaawasumbua hawa majogoo wa Anfield!Duuu,.hawa watoto sio poa kabisaaa
Watoto hawana adabu washachukua namba za babu zao hawa...Yaani uoga unaawasumbua hawa majogoo wa Anfield!
Kama njia zote zimeshindikana afungulie tu Sibuka Fm wanatangaza mechiJamani mwenye link ebu msaidieni ndugu yangu uko wapi huko ambako hakuna tv wala vibanda umiza jamani
Sannaa!halafu wanaweza fungwa kizembee!Liver naona wamekamia, lakini zidane hana wasi wasi.
Kimbinu wameanza vizuriii liverDk ya 24 bila bila Liverpool wanashambulia sana....Ronald simwoni uwanjani
Hata radio itakuwa hakuna mkuuKama njia zote zimeshindikana afungulie tu Sibuka Fm wanatangaza mechi