Muamshe tu mama ninashida nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ba mkwe mkeo kalala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ba mkwe leo utapambana na hali yako msalimie sana home boyMuamshe tu mama ninashida nae [emoji23]
Amekata umemeRoho mbaya gani mkuu????
[emoji23] [emoji23] daah!shabiki lazima atatafutwa na wasiojulikanaBaada ya kipa wa Liverpool kushindwa majukumu yake basi shabiki kindakindaki kaamu kuokoa goli la nne mbele ya Ronald.
Siku nyingine mbinu hizi zitumike tangu mwanzo
Subiria nipata ban basi ,kama nimemtusi mtu [emoji26]Huu sio uzi ni comment hili andiko halina sifa la kuwa UZI
HahaaaaaaaaaAmekata umeme
Ni kweli mkuuuSio Mbaya Kaifanya Fainali Kuwa Nyepesi Sana
Haya salam zimefika mama mkwe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ba mkwe leo utapambana na hali yako msalimie sana home boy
Zizou is a very very very highly disciplined coach, he reads the opponents very well and make them real suffer! He deserve it.
Liverpool ni timu ya hovyo sana, huwezi kutegemea mchezaji mmoja! pole kwa ushamba wao!
Pole sana baada ya siku 3 utakuwa ushasahau.Leo nimeumia kushinda kitu chochote lkn yatakwisha tu