Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahaha huwa ananicheka team zangu ninazoshangilia kuwa mbaya nashangilia team ganiHaya salam zimefika mama mkwe!
Kwani Leo hujawasiliana nae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha huwa ananicheka team zangu ninazoshangilia kuwa mbaya nashangilia team ganiHaya salam zimefika mama mkwe!
Kwani Leo hujawasiliana nae?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Golikipa mpumbavu atakuwa kabeti Liverpool inafungwa si Kwa poor performance like that, shown by him.
Liverpool goal keeper is a problem and he doesn't deserve to play with the teamLiverpool played without a goalkeeper
hichi kijamaa kilipania bora wachezaji wote wafunge ila siyo ronaldo.teh teh teh!!! sijui kimevuta bangi ya wapi.Huyu jamaa katokea wapi ?
Inabidi atafute kazi nyingine. Hana uwezo wa kuwa top class golkeeper.Ameufanya usiku wa watu wa Liverpool kuwa mgumu Sana...
Bonge la final bila ya salah
hichi kijamaa kilipania bora wachezaji wote wafunge ila siyo ronaldo.teh teh teh!!! sijui kimevuta bangi ya wapi.
Mohamed salah kutocheza World cup!!View attachment 787125
..Ramos mhuniRoho mbaya Ramos
Yeye si MAN CITYHahaha huwa ananicheka team zangu ninazoshangilia kuwa mbaya nashangilia team gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mniache na team zangu mmYeye si MAN CITY
ila hata mimi huwa nakushangaa sana team zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Toeni shombo humu jamani, who cares about uefa? Peleka jukwaa husikaAmeufanya usiku wa watu wa Liverpool kuwa mgumu Sana...
Bonge la final bila ya salah