Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
UmeonaPole bahati nzuri madrid hawana kelele sana hasa pale ronaldo hajafunga mtasahau tu
Hama bhana huko njoo uku kila siku sherehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mniache na team zangu mm
Mpira ndo starehe yangu ndgAchana nao fanya ishu nyingine...kuna kikapu baadae
Mpira ndo starehe yanguAchana nao fanya ishu nyingine...kuna kikapu baadae
Masikini akipt kelele nyingi kwelMadriiiiiiiiiiiiid
Kama hiviAm a Man United fan though today nilikuwa naisapoti Liverpool to be honest Liverpool hawana golikipa ule ni uozo bora wangemchukua Degea wetu Kwa leo
Kweli kabisaNi Barcelona pekee ndio ikicheza na real Madrid nakuwa na amani, Laki I sio team nyingine. Liverpool wameniangusha sana
Stress za mechi mkuuuuToeni shombo humu jamani, who cares about uefa? Peleka jukwaa husika
Kuhama team ngumu sana aisee kama kuhama dini home boy anajitahidi mnooo siwezi jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hama bhana huko njoo uku kila siku sherehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama hiviView attachment 787130
Pole mkuu, madriiiiiiiiiiiiiiiiiiiid sio maskini.Masikini akipt kelele nyingi kwel
[emoji23][emoji23][emoji23] amebonyeza kizenjiRoho mbaya Ramos