Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mambow[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Poaaaaa!Mambow
Mpira hauna maumivu yoyote,usiombe uingie kwenye mchezo wa kamari wewe utakufa mapema sanaSiwez sasa Kwnn lkn
Wamefuga nywele style moja na Bale
Nikakusubiriii weeee hujatokeaaa..mtoto mbaya weee sanaPoaaaaa!
Hatimaye marehemu ameshindwa kuhudhuria maazishi yake mwenyewe.Liverpool kushinda leo ni sawa na marehemu kuhudhuria msiba wake mwenyewe
Ndugu yako huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Kwa hakika kabisa maharage yalishaiva,kuliwa yameshaliwa na vyombo vishaoshwa na mkeka ushakunjwa.Naona liver leo wamekamia sana hapa uwanjani
Nakumbusha tu mahenga walipata kusema "mkamia maji hayanywi"
Rukeni rukeni tu mwishowe mtatulia
"Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake"walipata kujisemea wahenga
Naona umeamia na huku sasa.teh teh.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
MmmmmmmhMpira hauna maumivu yoyote,usiombe uingie kwenye mchezo wa kamari wewe utakufa mapema sana
Nini sasaNaona umeamia na huku sasa.teh teh.
Hii kauli yako imenipa mashaka kama wewe kweli ni shabiki wa mpiraMasikini akipt kelele nyingi kwel
Kwamba ya Uefa yapelekwe World CupRamos
Kuumiza wenzako yeye
Kujirusha wenzako wapewe kadi nk
Nadhani world cup marefarii watashughulika naye
Ataikost Spain sana....utabiri wangu
Hasira tu ndg yanguHii kauli yako imenipa mashaka kama wewe kweli ni shabiki wa mpira
Leo nimeumia kushinda kitu chochote lkn yatakwisha tu
Keeper alibetKeeper wa liverpool kauza mechi
Ila imekuwa ahueni kwa baadhi yetumaana laiti km mngeshinda tusingekaa kwa raha mtaani maana naona na Liver nao wameanza kuwa na kelele sana.Leo nimeumia kushinda kitu chochote lkn yatakwisha tu