Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
that s y he z a captain.....experience is the best teacher......Ramos mhuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
that s y he z a captain.....experience is the best teacher......Ramos mhuni
duu!! basi yaishe.Kwani hukuwaona ?
teh teh teh.ngoja wakuibukie huko pm mkuu.Eti livapuli ndio aina gani ya puli? Au ndio ile ya kupitisha kinyoya Mbozi mpaka wazungu watirike?
sio yanamhusu ni yake kajifunga. ok kosa moja utasema bahati mbaya makosa mawili? angekuwa kwetu huku wangemtafuna mchana mshenzi huyu.Goli la kwanza Na la tatu yanamhusu.
Acrobatic goal lile hata Moses Mkandawile hadaki
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]Hatimaye marehemu ameshindwa kuhudhuria maazishi yake mwenyewe.
SanaaaKwa hakika kabisa maharage yalishaiva,kuliwa yameshaliwa na vyombo vishaoshwa na mkeka ushakunjwa.
Za kuamkwa? [emoji23][emoji23]Yani leo Liverpool wakifungwa naliwa maana tumebet tamu yangu [emoji23][emoji23]
Mitaani kimya sana Leo!Zile goli za jana za madrid zimeweka rekodi zote. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Poleni sana wazee wa vijogoo.
pole dear, nilikua naangalia kupitia TV...Msaada link pls
Hahaha [emoji23][emoji23]Kaliwe mama