[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Duuuuh notceIla imekuwa ahueni kwa baadhi yetumaana laiti km mngeshinda tusingekaa kwa raha mtaani maana naona na Liver nao wameanza kuwa na kelele sana.
Hahaha!! nimecheka sana aisee.Pole mkuu, madriiiiiiiiiiiiiiiiiiiid sio maskini.
Mwenzako ana hela kuliko babako halafu unamwita kibaka!!!!Hallo ramos ndio Afande uyu kibaka asicheze ndan ya dk 30View attachment 787154
Kwamba ya Uefa yapelekwe World Cup
Hii sio futuhi mkuu
Ila yote kwa yote poleni.Duuuuh notce
Nikwelpole sana mkuu ndo hvyo tena jogoo lishaliwa na wajanja!! amna namna tena.
Daaaaah ni balaa sna Ila imepta nayoSikufichi mkuu hata mi nimeumia sana leo utadhan nimeachwa vile.
Unapima utu kwa fedha!?Mwenzako ana hela kuliko babako halafu unamwita kibaka!!!!
Dah binadamu bwana
Mamaake Ramos,yule in jambazi sio mchezajiSema lolote kuhusu hii picha View attachment 787055
In kakike ndio maana kana watoto wa sindano.
matatizo yote yalianzia hapa.
haka kajamaa nanawivu sana haka.
Kama akina nani jaman coco!!.
Aitheee na ww leo hujalala?Kwani hukuwaona ?
Hahaha, ronaldo kachukia sana paleBaada ya kipa wa Liverpool kushindwa majukumu yake basi shabiki kindakindaki kaamu kuokoa goli la nne mbele ya Ronald.
Siku nyingine mbinu hizi zitumike tangu mwanzo
Unataka washinde wakati uko nje ya uwanja hahahahaaa,so simple to state!!Acha tuu aisee nilikuwa Nataka Liverpool washinde [emoji26]