Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Goli la kwanza Na la tatu yanamhusu.
Acrobatic goal lile hata Moses Mkandawile hadaki
sio yanamhusu ni yake kajifunga. ok kosa moja utasema bahati mbaya makosa mawili? angekuwa kwetu huku wangemtafuna mchana mshenzi huyu.
 
Jamani sisi wadada mambo ya mpira wengi wetu hatuyajui kabisa.
Jana niliona mchezaji mmoja wa Real Madrid akilia kwa uchungu Na kushindwa kuendelea Na mpira.
Alipotoka uwanjani akaenda vyumba vya kubadilishia nguo.
Hivi alikumbwa na nini? Nilishindwa kumuuliza Mr. Maana alikuwa Na temper ya ajabu kabla hata mpira haujaanza
 
ni hasira za kulazimika kuondolewa kwenye kikosi sababu ya injury yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…