Real Madrid v Liverpool: UEFA Champions League Final - May 26, 2018. Madrid wins for the 3rd time in a row!

Kati ya heshima kubwa anayoweza kupata mchezaji kwenye soka ni kushiriki world cup. Sasa huyo mchezaji kwa Mara ya kwanza aliitwa kwenye kikosi kigumu kwa mchezaji kupata nafasi cha Spain kitakachoriki world cup hii inayoanza next month.

Ghafla Jana akapata serious hamstring injury iliyopelekea yeye kukatwa jina lake kwenye timu ya taifa maana majeraha yake ni serious na anakuwa unfit for the world cup hivyo ataliangalizia nyumbani kama mimi na wewe that's why imemuuma sana akalia kwa uchungu mwingi na kilio chake ni kama dobi wa mburahati anaepiga pasi nyingi ila hajawahi kusajiliwa Barcelona.

The same applies kwa Mud salah!
 
hebu watag mods chief...
 
Hizi ni dharau watachukuaje mara tatu mfululizo.
sio dharau ni kuonesha kuwa Laliga ni bora kuliko ligi zingine...

Europa winner=Atletico Madrid
UEFA CL Winner= Real Madrid
Club World Cup Winner=Real Madrid
Super Cup Winner ajaye = Real Madrid or Atletico Madrid

Bado kombe la Dunia... likienda Germany, Spain au France sio mbaya... ila lita noga likienda Spain.

Hapa sasa ndipo utamu wa laliga ulipo na mta hidharau iyo EPL Hahahahahahahaha....

ya Mo Sallah ukishindwa kumzuia kiuchezaji kwa kuwa amekuzidi kuna njia nyingine za kumtoa mwenzio mchezoni... ndivyo alivyo fanikiwa ndugu Ramos, na wachezaji wakongwe na wenye kujiongeza huwa wana elewa hilo... na hapo ndipo game ilipo malizwa ilipo isha mapema mno... na mbinu za kocha na matarajio ya wengi yaliishia hapo... kujiamini kwa wachezaji wa liver kulipotea molali iliiisha... na kuumia kwa wachezaji wawili wa kombe la dunia kupitia timu zao za taifa kulijenga hofu kwa wachezaji wengi na kufanya mchezo kupoa na wachezaji kushindwa kujitoa kwa asilimia mia au na zaidi... na game kuonekana mbovu... kocha wa liver pia hakuwa na plan B' ufinyu wa kikosi chake kutokuwa bora au na wachezaji bora kulikuwa ni kikwazo pia... sub anaingia garasa no impact...
 
Mimi nimefurahi kwa kweli japo ni Fc barcelona fan ila ni furaha yangu kwa walio shinda wapinzani wetu na heshima kwa laliga toka kitambo UCL ina anzishwa mpaka sasa... washindi ni Laliga... makofi kwao tafadhari
 
Nimeona watu wakitetea uhuni uliofanywa na Ramos jana kwa kisingizio cha cha mambo ya kawaida kwenye mpira, Labda kama mlianza kuangalia mpira jana lakini kwa tunaofutilia mpira tunawajua Ramos, Pepe na Marcelo hawajawahi kuwa waungwana kwenye soka. Lionel Mess amekua victim mkubwa wa uhuni unaofanywa na hao watu.

Ramos anaongoza kuwa na kadi nyekundu nyingi duniani, na ni kwa vile tu anachezea Madrid kwa papa Perez la sivyo angekua anakumbana na vifungo vikali zaidi vya soka. Tukemee kwa nguvu zote aina zile za uhuni kwani kila mtu anauweza sema tu watu wameamua kufuata sheria.
 
kitendo hicho hakitasahaulika kwa miaka kadhaa kuanzia jana
 
Jifunze kukubali matokeo,hao wote ni professional
 
jamaa Mara ya pili anashindwa kumaliza mechi ya fainali..naona hiyo ndio iliyomliza zaidi..gundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…