Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
FT: Liverpool 1-0 Madrid
Ninaishi Dar ila akili zangu zipo Anfield...
Mungu wabariki majogoo wote duniani na mbinguni
Mkuu twende kwa majogoo watupe heshima ya epl
Liverpool will win, kama referee hatawabeba Madrid.
Madrid anakalishwa mapema sana..
Liverpool leo nipo nanyi
You will never walk alone
Liver asipotwaa ubingwa leo naombwa nipigwe life ban humu ndani.
NB. Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa mashetani wekundu kutoka jiji la Manchester, huyu mtani wangu (Liverpool) leo nimejikuta maombi yangu ya yeye kufungwa yamegongwa mwamba hivyo naomba kusema leo mtani anashinda mapema saaana.
Tunakumbushia kidogo[emoji41] [emoji41] [emoji41]Liverpool 2
Goli la kwanza dk ya 37, goli la pili dakika ya 86.
Real Madrid 1.
Goli linafungwa dakika ya 72.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]