Hii fainali ndoo tunabeba. Madridista till death.Madrid tunabeba kombe bila shaka chini ya Legend Zinedine Zidane.
Japo itakuwa fainali ngumu sana,hatutomshinda Juve kiurahisi.
Kwa nini timu zako ndo zangu?Madrid tunabeba kombe bila shaka chini ya Legend Zinedine Zidane.
Japo itakuwa fainali ngumu sana,hatutomshinda Juve kiurahisi.
Madrid huwa hanaga historia ya kuachaga kombe uwanjani.
Nadhani kwa sasa tim zote zinategemea zaidi nguvu ya viungo nampa madrid ndooJuve beki yao itawabeba sana Ronaldo ndo yupo mwishon mwa career yake simuoni Ronaldo yule wa misimu mitatu iliyopita anachezea uzoefu speed yake inapungja kila siku juve nao higuain mzito kanenepa hatakuwa na hatari kubwq ile inayotarajiwa ila mwisho atakaechukua ndoo ataibeba kwa bahati nothing else
HahahaaaaaaaKwa nini timu zako ndo zangu?
Aaaaahhhh wapi,maumivu ya Arsenal yananitosha,sitaki mwengine
Juventus Amemtoa na monaco pia, au umesahau kama monaco imemtoa timu ya dortmund kwa aggregate kubwa. real kashindwa kumfunga dortmund kwenye group stage mechi zote mbili zaidi kuambulia droo ya magoli 2 kwa 2Yaani kisa Juve kamtoa Barca ndo mnadhani atamtoa Real
Mkuu, umegusa penyewe. Achana na wale majamaa wa Juventus. Wanakaba mpaka wanatia kichefuchefu.Furaha yangu ilitimia kwa 95% pale Attletico alipo tolewa nje na real Madrid.(ili real madrid anuse fainali)
furaha yangu itatimia kwa 100% pale juve atakapo beba kombe.
ni hayo tu tukutane hiyo tarehe 3.