Real Madrid Vs Juventis UEFA final

Real Madrid Vs Juventis UEFA final

Hii mechi siyo nyepesi kwa madrid. Mechi itaamuliwa na makocha. Kocha atakayeweza kuusoma mpira kwa haraka wakati unaendelea uwanjani na kuchukua maamuzi sahihi, basi ndo ataipatia timu yake ushindi.

Ni mchezo ambao utaamuliwa zaidi na mbinu kuliko uwezo wa kikosi.
 
Madrid wana mid bora kwa sasa duniani ambayo ndio sababu ya ushindi wao wanatengenez nafasi na kudhibiti timu pinzani wasichez vizuri ila wana beki wabovu sana na kipa mbovu wanaruhusu magori karib kila mech juve wana beki nzuri sanaa ila washambuliaji hafifu.lakini juve ndio timu inayomfung Madrid zaid duniani ikiwa Madrid ameshinda Mara moja tu so haitakuwa rahisi kwa Madrid hata kidogo so juve ana advntg
 
Mtanange mkali team madrid hapa, Huku Marcelo huku Alves wote wanashambulia sijui nani atabaki kumlinda mwenzie.
 
Juve beki yao itawabeba sana Ronaldo ndo yupo mwishon mwa career yake simuoni Ronaldo yule wa misimu mitatu iliyopita anachezea uzoefu speed yake inapungja kila siku juve nao higuain mzito kanenepa hatakuwa na hatari kubwq ile inayotarajiwa ila mwisho atakaechukua ndoo ataibeba kwa bahati nothing else
Nadhani kwa sasa tim zote zinategemea zaidi nguvu ya viungo nampa madrid ndoo
 
Hii mech ni ngum sana, kwa kias kikubwa nampa nafas Juve (ingawa binafs napenda zizzou achujue ndoo), Juve wamekamilika kila idara na hawakat tamaa. Record yao ya defense inawabeba sana current UCL campaign wameconcede only 3 goals, jamaa wana nafas kubwa sana.
Madrid wana kaz kubwa sana kule nyuma wanatakiwa wakamilike kweli kweli Kaylor Navas asifanye makosa yake ya kijinga, pale kati Casemiro, Modric na Kroos wanatakiwa wawe kwenye kiwango chao, CR7 na Benzema wanatakiwa wawe vzur. Bila kusahau Zizzou anatakiwa aachane na Gareth Bale ampange Isco akifanya makosa kama aloyafanya mech ya Barca itamcost
 
Si haya ya Kandambili karibu uyapate leo. Nasikia ati moyo ulikuwa ukienda mbio baada ya MBC kusawazisha.😛😛😛

Aaaaahhhh wapi,maumivu ya Arsenal yananitosha,sitaki mwengine
 
Yaani kisa Juve kamtoa Barca ndo mnadhani atamtoa Real
Juventus Amemtoa na monaco pia, au umesahau kama monaco imemtoa timu ya dortmund kwa aggregate kubwa. real kashindwa kumfunga dortmund kwenye group stage mechi zote mbili zaidi kuambulia droo ya magoli 2 kwa 2
 
Furaha yangu ilitimia kwa 95% pale Attletico alipo tolewa nje na real Madrid.(ili real madrid anuse fainali)

furaha yangu itatimia kwa 100% pale juve atakapo beba kombe.

ni hayo tu tukutane hiyo tarehe 3.
Mkuu, umegusa penyewe. Achana na wale majamaa wa Juventus. Wanakaba mpaka wanatia kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom