ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Si bure utakuwa shabiki wa Simba wewe!!Nilikua kazini lkn nilikua Namibia kwa mbali tv screen mechi ile ikiendelea kweli Madrid walipata bao lakini depotivo walisawazisha na kuongeza goli ikawa 2-1,kutokea hapo refa ndio akazidi kuwa upande Wa Madrid,kawanyima penati Deportivo,Madrid wakacheza kibabe,Ramos kapiga ngumi mtu lakini hakupata walau njano,refa kawasaidia mpaka wakaforce goli madridvwakaongoza 3-2,akamaliza mpira
Nna imani sio mbali R Madrid watatoka pale kileleni na kupisha wengine kwa kiwango kile.
Fc BarcaSi bure utakuwa shabiki wa Simba wewe!!