Real Madrid walibebwa jana

Real Madrid walibebwa jana

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nilikua kazini lkn nilikua Namibia kwa mbali tv screen mechi ile ikiendelea kweli Madrid walipata bao lakini depotivo walisawazisha na kuongeza goli ikawa 2-1,

kutokea hapo refa ndio akazidi kuwa upande Wa Madrid, kawanyima penati Deportivo, Madrid wakacheza kibabe, Ramos kapiga ngumi mtu lakini hakupata walau njano, refa kawasaidia mpaka wakaforce goli madrid wakaongoza 3-2, akamaliza mpira

Nina imani sio mbali Real Madrid watatoka pale kileleni na kupisha wengine kwa kiwango kile.
 
Nilikua kazini lkn nilikua Namibia kwa mbali tv screen mechi ile ikiendelea kweli Madrid walipata bao lakini depotivo walisawazisha na kuongeza goli ikawa 2-1,kutokea hapo refa ndio akazidi kuwa upande Wa Madrid,kawanyima penati Deportivo,Madrid wakacheza kibabe,Ramos kapiga ngumi mtu lakini hakupata walau njano,refa kawasaidia mpaka wakaforce goli madridvwakaongoza 3-2,akamaliza mpira
Nna imani sio mbali R Madrid watatoka pale kileleni na kupisha wengine kwa kiwango kile.
Si bure utakuwa shabiki wa Simba wewe!!
 
Jamaa shabiki wa JKU. Kwani mechi ya jana iliishia ngapi ngapi?Niliacha Yanga wanaongoza 2 bila.
 
Back
Top Bottom