Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa-miss sana wana JF

mkuu kama JF ipo kenye damu basi huwezi iachacha muda wote huo..ID itapumzika then utatumia nyingine
 
Wadau, mpo!

Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,

Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.

Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.

Nenda kajinyonge sasa hivi kwani Liverpool inaifunga Madrid 4 - 1. Kama hutojiua kabla ya hapo basi rudi tena Jumamosi usiku uje kuniaga rasmi, ila ujumbe ndio huo. Liverpool 4 Madrid 1.
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
 
Wadau, mpo!

Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,

Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.

Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Nami nitakuwa nawe kwenye hiyo ban, kama liver atashinda.
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
Nani atakuwa na mda kukufanyia hayo
 
Wanaume wako Kyiv!
FB_IMG_1527224599977.jpeg
FB_IMG_1527224566499.jpeg
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
Hakika kiongozi,mimi nimesoma kama Madrid standing Liverpool Maria posa kwa Miss Natafuta.
 
Back
Top Bottom