Upuuzi mtupu. Hiyo madrid ni nini kwako? Hivi wazazi wako kama wana akili wakifanikiwa kuusoma huu upupu wako watajisia vipi?Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..