Real Madrid wasipotwaa ubingwa nitawa-miss sana wana JF

Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
Upuuzi mtupu. Hiyo madrid ni nini kwako? Hivi wazazi wako kama wana akili wakifanikiwa kuusoma huu upupu wako watajisia vipi?
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
NAKUUNGA MKONO 1000%
 
Robo tatu ya watu wote duniani hasa wanaopenda michezo wanaipa nafasi Real kushinda dhidi ya Liverpool kana kwamba Liverpool itakuwa imelala siku hiyo ya fainali! Muda utatuambia!
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
ID fake ndo inakupa jeuri yakuongea huu upupu
 
Wadau, mpo!

Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,

Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.

Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Naomba usiondoke bila kuniona maana hachikui UCL [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..

Bingwa Liverpool..
Viapo vya kukufuru
 
Back
Top Bottom