Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Kuwa nje ya JF kwa Mwezi mmoja kwangu ni kama mwaka mzima vile.Eeeeh kumbe mwezi tu..
Haya weeee
Wadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Nami nitakuwa nawe kwenye hiyo ban, kama liver atashinda.Wadau, mpo!
Kama Real Madrid haitaubeba ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (EUFA) Usiku wa tarehe 26.5.2018 Jumamosi dhidi ya Liverpool,
Nitajiadhibu kwa kutoingia JamiiForums kwa mwezi mzima.
Na kama likitokea hilo, Nitawamiss sana wanaJF kwa kuwa mbali nao kwa kipindi kirefu cha mwezi mzima.
Nani atakuwa na mda kukufanyia hayoKama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-
-Nitatembea mtupu kama siku niliyokuja ulimwenguni
-Ninyolewe nywele zangu za kichwani zote na ndevu zangu waziondoe.
-Nimwagiwe oil chafu mwili mzima
-Mnitembeze mji wote huu wa Dar nikiwa kama nilivyo huku nikiimba CCM namba wani..
Bingwa Liverpool..
Nita wakumbushaNami nitakuwa nawe kwenye hiyo ban, kama liver atashinda.
Kuwa nje ya JF kwa Mwezi mmoja kwangu ni kama mwaka mzima vile.
Hakika kiongozi,mimi nimesoma kama Madrid standing Liverpool Maria posa kwa Miss Natafuta.Kama Madrid atamfunga Liverpool na kutwaa kombe:-