Real Madrid watatoka Leo?

Real Madrid watatoka Leo?

Time will tell... [HASHTAG]#madridsta[/HASHTAG]
 
Walishikwa kweli kweli nilihisi kuwepo hali hii mapema hats hivyo kipa amejitahidi ingawa ametema sana mipira wangepigwa nyingi Leo,sasa kivutio in mechi yao ijayo LA liga cjui watashinda au draw tena?
 
Madrid wapo vzr, lkn kocha angewaangalia zaidi chipukizi kma asensio, morata Na lucas
 
Back
Top Bottom